.Umeona eenh?? Haya anza chat na picha fasta!!
Chati na picha.Wapendwa why mnafuta picha hali ya kuwa tumekubaliana jana hakuna kufuta.
Akichukua mtu baki namroga[emoji34][emoji34][emoji34]View attachment 1267382
Angalia usizime hahah
Angalia usizime hahah
Hahahaj sawa babaWatafunga bar wao sio mimi kuzima..hiki ni kipaji changu[emoji23][emoji23]
Sijui nimekufananisha
Shindwaaaa! Baki na zawadi yako.Ndiyo Ndiyo
Hili jina lako mbona nalisoma ndivyo sivyo!! Silly me[emoji85][emoji85][emoji85]
Mimi nimekufananisha na AUmenifananisha na nani ? taja herufi ya jina .
Hili jina lako mbona nalisoma ndivyo sivyo!! Silly me[emoji85][emoji85][emoji85]
Dada, ujuwe minakuangalia tu....teh[emoji28][emoji28][emoji28]Hili jina lako mbona nalisoma ndivyo sivyo!! Silly me[emoji85][emoji85][emoji85]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]unalisomaje?
Kaka jamani mie nikajua haupo[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Dada, ujuwe minakuangalia tu....teh[emoji28][emoji28][emoji28]
Mimi nimekufananisha na A