binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 13,123
- 34,453
My binti kiziwi picha yako tafadhali.
kumbe uliwahi niita huku? Bi kizee mie wala siwezi weka snap hapa... Nashukuru warembo wa JF wametutoa kimasomaso, angalau hatutanangwa tena humu.
My binti kiziwi picha yako tafadhali.
Muhimu sana. Ukiwa na interview, or unaenda kuonana na mtu kwa mara ya kwanza make sure unavaa viatu vizuri, uso wenye bashasha na nywele ziwe poa.
Automatically mtu huangalia kwanza juu then chini directly.
Vijana walivyo kosa adabu, lazima wakaifanyie yao huko bafuni mixer na sabuni...Uuuuuuuuh shikamoo marahabaa



We n muongoZa mdada mmoja mnigeria nliipenda picha yake
Tatizo ni kwamba me sirogeki![]()
Vijana walivyo kosa adabu, lazima wakaifanyie yao huko bafuni mixer na sabuni...![]()
Haya karibuUsifanye hivyo mkuu
Ushirombo 😂🏃Umeaga wapi dada??
Ahaaa wapi,yang ukiniona utaanguka kwa presha sura kama ya Remmy shape ndio kabisaa ,nlisahaulika mwenzio
We n muongo
...uliza kiatu...View attachment 1267414
Nakuja chap andaeni billMie nmeazima hii miguu baadae nairudisha kwa mwenyewe,lkn umenidanganya nmefika sijakuona nmekaa hapa dukan nipoze kiu maana nmekimbia si kitoto
Vise vesa is true
Nishakaribia,tena katika kufanya nisipotee huko chuga naanza na pm 😎Haya karibi
Mbona me mwenyewe kimbau mbau....haya jiwekeJaman ntalia ujue nasema kweli
Mie mwembamba sanaaa ukiniona hutaamini
Hahahha sikuwa najua mwenzio
😆😆😆😆😆Nishakaribia,tena katika kufanya nisipotee huko chuga naanza na pm 😎
YaaaaapHaha Ohoo,, so now you know