Naomba lift bossKazi kwako kijanaa
Mambo ya Hyatt Regency mzee baba National Anthem, hapo kilichobaki ni kuwa na mtoto mkali. Kishefa kabisaBantu Lady nakuona maeneo yenu wakubwaView attachment 2489980
🤣🤣🤣 Carrasco putin na dronedrake wakiiona tu wanajichukulia sheria mkononiIngepanda juu, huyo Carrasco putin angeitumia picha yangu kinyume na sheria
Naimani wamesikia na kuelewaaa.Mke wangu kipenzi wambie watulieeee wasubiri mambo mazuri yanakujaa kipenzi
Wanaselfika wooote wana mwaliko rasmi




weuwe tukae mkao wa kula aisee mambo yamenukia lol ..@Mjep
Mume wangu hebu sema ndoa lini, watu wanataka kuvimbiwa pilau na kachumbali
Mie sijambo dear.![]()
Shukrani kwa maombi yako Mkuu, Mimi Umri umesogea kidogo hivyo Mhe. Rais hawezi kuniteua katika Umri huu wa Kucheza na Wajukuu 🤪Hongera sana Graham
Kuwa Mkuu wa wilsya
Kopa million 150
Usinisahau
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Enzi zake akiwa pale darajani, alimsumbua Sana Mzee wetu Wenger hadi kufikia kutaka kurushiana makonde.Ndio maana namkubali sana Mourinho
View attachment 2496269
angetumia na kline auIngepanda juu, huyo Carrasco putin angeitumia picha yangu kinyume na sheria
Watu wana tomber pazuri, kama huyo anae mwagilia kwa Lenie naona anafaidi sana.. kwa muonekano mtoto kitu tight mnattoOya National Anthem cheki mguu wa Lenie 😍😍😍
Yaani hapo ulitakiwa uipandishe kidogo hiyo skirt Carrasco putin angekushukuru sana kuimagine
Babu la mchongoShukrani kwa maombi yako Mkuu, Mimi Umri umesogea kidogo hivyo Mhe. Rais hawezi kuniteua katika Umri huu wa Kucheza na Wajukuu
Kwa Sasa nimejikita kwenye Kilimo huku Vijijini 🥱
Nimepiga sana sheli
Taratibu bhasWatu wana tomber pazuri, kama huyo anae mwagilia kwa Lenie naona anafaidi sana.. kwa muonekano mtoto kitu tight mnatto

Hahaaa watu wanakula mema ya nchiWatu wana tomber pazuri, kama huyo anae mwagilia kwa Lenie naona anafaidi sana.. kwa muonekano mtoto kitu tight mnatto