Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,552
Na chips kidogo basi mambo yakawa safi kabisa😋🤗🤗🤗🤗
Zilikuwaje??
Na chips kidogo basi mambo yakawa safi kabisa😋🤗🤗🤗🤗
Zilikuwaje??
Daah, nimetamani sana kuku...
Nipe heshima yangu kijana, Babu yenu hapa umri umesonga ujue😎
Ugali uko wapi ? Naona mboga tu
Nimependa mtindo huu wa kuwafundisha vijana maisha ya kujitegemea wangali wadogo.Nimepiga sana sheli
Tisa usiku hadi Nne asubuhi
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Mvuvi kaziniNipe heshima yangu kijana, Babu yenu hapa umri umesonga ujue![]()

Unataka Babu yenu nikufwe kwa presha na kisukali 🤪
hasa kwa anae mtomber Lenie anajilamba tu midomoHahaaa watu wanakula mema ya nchi
Nopeeee!
Haswaaaaah!!!weuwe tukae mkao wa kula aisee mambo yamenukia lol ..




🍻Kumekuchaaa!!!![]()
