Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Weee nimekaa nae mbali kabisa still sikujua kabla
Liongo wee, au unaamua kukaushaa 7bu uko kwenye himaya zao??
Wazungu wanawawezaa hapo kwa Gays, na hamchomoki na wanawajua jinsi ya kuwaenezea, na mnavyo penda kwenda huko.

unafiki unawasumbua, eti hukujua, na unajua sanaaa ila unaogopaaaa kufurushwaaaa.

Nimechekaaa leo km chizi hapaaaa.
 
Eeeeh mbona maneno mengi mimi sina shida its just i dont like them thats all!
 
JF sio shida zangu, nimekumbukaa mbaba wa NSSF.

Zee zima ujana wake ale na wengine, uzee aumalizie kwanguu, akuuuuuh aniwaacheeeee.
Etiii oooh utafauduu pesa, wee mbna hizo pesaa hufauduu hadi unitafute mie.

Ukimwi wa utotoni nani anautakaaaaa??
🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂 Mbavuu Zangu cocaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂
 
Kila siku nasemaga wabongo kwa unafikii hawajambooo, hao Gays hata hawawachukii kweli, wana pretend, tena wakiwa huko majuu wana socialize nao kwa ukaribuu mnooo.

Leo Jack Palladino kakaa na Gay meza 1 tena wanatazamanaa, huku wana jadili mambo fulan fulan. Hajari wala nn, ila ingekua Bongo hapo angejifanyaa kumkwepaaa.

Wazunguuu wanajuaa kuwanyooshaaaaa watu.

Lekchaaaaaaa u made ma day, ariririiiiiiiiiiiiiiiiii

Msalimie sanaa huyo,. Afu muulize anacheza rolle ipiii???

cocastic unaweza kupigilia hivi vitu?
20230117_224118.jpg
 
Back
Top Bottom