Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,871
- 32,691
Anabaki ningejua 🤔 ila ndiyo inakuwa, Too late.Moyo huwa unauma Sana kusikia Baba Jane bye bye.
Hapo unatamani walau siku zirudi Nyuma uweze kurekebisha makosa lakini ndiyo haiwezekani tena.
Tena unakuta sijui ulikuwa humu hudumii sawasawa huyo mrembo baada ya kuachana nawe ndiyo unakuta Shape ndiyo linatoka hasa mtoto amenawiri, ngozi laini kama amepakwa asali Kutoka Misri ya Kale 🤗
But watu huwa hatujifunzi, hata ikutokee mara 3 bado utarudia na kubaki kujuta.
Mimi nimeshajifunza, kama mtu anavikosa vya kuweza kurekebishika, sitoki hapo.
Nisije kuwa majuto ni mjukuu...


ila ndiyo inakuwa, Too late.


wee mzee babaa.