Oohh siyo mbaya lakini uzuri wa mwendokasi ni kama hivyo ulivyosema kwamba kwa route ndefu zinasaidiaSehemu ambayo nauli zilikuwa 650 imepanda hadi 750
Na zile route za 400 imekuwa 500
Ukiunganisha route 2 ,mfano Mbezi-kivukoni ,jumla inakuwa 1250 badala ya 1050 ya mwanzo.
Haha tuendelee kuchangia Kodi kwa ajili ya V8 mkuuWatu hawana furaha kabisa, yaani watz hatuna furaha hata kidogo. Ni kulalamika tu kwa makosa ya serikali. Magari hakuna, nauli imepanda...watu ni wengi.
Machame unapanda mpaka pale kialiya mlima unauona karibu kabisaKwa Kweli kaah...mko vyedi yaani mwezi April ntaenda Tena visiting day ntakaa hata two days Niende njia machame nikaone mlima Kwa karibuu
Kufananisha KLM na Mikoa mingi ni kichekesho,ukiacha dar rufiji hapo Kuna mapori balaaa,Kila wilaya Moshi inaishika vitu nilivokuta dodoma ghali pale same mmenunua Kwa nafuu next time shopping ntafanyia Same pale
Kwangu it was good experiences
Nkafika Same visiwani yaani mnapita mbuga mnakutana na Kijiji kikubwa kizuri umeme mpk milimani nyie[emoji119][emoji119][emoji119][emoji38][emoji38][emoji38] shikamooooo watu wa Kilimanjaro ,gesti nzuri halafu walinikarimu mpk nimeshangaa au Kwa kua mgeni siku ya kwanza!!
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Same hiyoo View attachment 2483146
Kiongozi ulipotea sanaJunking the food [emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2483465
Halafu kuna kimtu kinajitokea zake na kuponda kaskazini[emoji23]Kwa Kweli kaah...mko vyedi yaani mwezi April ntaenda Tena visiting day ntakaa hata two days Niende njia machame nikaone mlima Kwa karibuu
Kufananisha KLM na Mikoa mingi ni kichekesho,ukiacha dar rufiji hapo Kuna mapori balaaa,Kila wilaya Moshi inaishika vitu nilivokuta dodoma ghali pale same mmenunua Kwa nafuu next time shopping ntafanyia Same pale
Kwangu it was good experiences
Nkafika Same visiwani yaani mnapita mbuga mnakutana na Kijiji kikubwa kizuri umeme mpk milimani nyie[emoji119][emoji119][emoji119][emoji38][emoji38][emoji38] shikamooooo watu wa Kilimanjaro ,gesti nzuri halafu walinikarimu mpk nimeshangaa au Kwa kua mgeni siku ya kwanza!!
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Same hiyoo View attachment 2483146
My Zodwa [emoji28]Kiongozi ulipotea sana
[emoji38][emoji3][emoji3]mnavyopafagilia Sasa weeeh!!!Tunakuwa kama tuko Ulaya [emoji91][emoji91]
Ndio maana panaitwa Geneva of Africa.
Sema kuna nyakati panaboa
Baridi ikizidi
Huwezi tupia ka dress
Itakubidi uvae li skin ndio ulivalie na koti
Masaki Nini hukoooo??au mkoaOohh siyo mbaya lakini uzuri wa mwendokasi ni kama hivyo ulivyosema kwamba kwa route ndefu zinasaidia
Lakini inatakiwa waongeze magari maana zilizopo tu bado ni za kugombania
Sisi wengine huku tulipo hakuna mwendokasi na daladala si za kugombania, wala hakuna foleni za kutisha ni mara moja moja tu, kwahiyo hata siku mtu ukiamua kutumia daladala ni raha mustarehe hazina hekaheka
Ahsante sanaMachame unapanda mpaka pale kialiya mlima unauona karibu kabisa
Uchawi sio mpk watu waruke na ungo dada[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]!!!Halafu kuna kimtu kinajitokea zake na kuponda kaskazini[emoji23]
We si ulizurura asubuhi, saivi zamu yanguUmeanza
Unaiga kupoop kwa tembo 🤣🤣We si ulizurura asubuhi, saivi zamu yangu
Haha ni huku Buyuni [emoji16][emoji16]Masaki Nini hukoooo??au mkoa