Inasababishwa na past experiences, maybe ushawahi ona radi ikiharibu mahali, ama mafuriko au hata ile misauti ya radi inayoogopesha...
Wenyewe wazungu wanakwambia ni moja ya phobia, so inakuwa treated na psychotherapies au madawa yale ya anti-anxiety...
Ila kwetu Afrika hizi mambo za kutreatiana hivi hakuna...however, next time when it rains na inakupata we upo outdoors, just call yo
, he'll be there for you