Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,331
- 183,235
EwaaaaaKazi na dawa
Shusha kituuuu!!
EwaaaaaKazi na dawa
Kwamba hutaki wageni[emoji23][emoji23][emoji23]Mgeni gani??[emoji849]
Huyu cocastic sweet wangu ni balaa lingine, yaani sifurukutii ananipa mahaba mazito mazito auntAsante aunt mapishi ya January ni tia maji tia maji 😀selfie kesho aunt huonekan coca kakufungia
Leo mbona unafunga duka mapema hivyoUsiku mwema wapendwa mrare unono [emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
Naked kweri kweri!!!
Majukumu mengine mkuu!!Leo mbona unafunga duka mapema hivyo
Pita basiUsiku mwema wapendwa mrare unono 😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴
Naked kweri kweri!!!
Nishapita mdogo wangu tena bila emoji wala nenee!! Nipo tu nasinzia hapaaaa! Ntakuwekea keshoo MadamPita basi
Hilo pishi lirudiwe on a special date😂😂😂Jamani
Hahaa nimekua ex sasa , hamjambo huko?Dear Ex naona umenoga
Kitu gani mkuu CPA? Bado kabisaa ila zawadi ya ghetto sitaki😀financial services vipi umemaliza ile kitu, nataka nije kukuletea zawadi ya 2023 gheto
Karibu sana nitarudiaHilo pishi lirudiwe on a special date
Asante nipe mahitaji, ntakupa venue uje kufanya kweliKaribu sana nitarudia
Si ulikataa pema mwenyewe 🤣Hahaa nimekua ex sasa , hamjambo huko?
Bye byeUsiku mwema wapendwa mrare unono 😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴
Naked kweri kweri!!!
Soulimeti katika ubora wako.Wife material kabisa[emoji23] Happy new year guys[emoji7]