National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,202
huna baya mwenyewe mtoto mzuri.. macho ya kipekee ngozi ya rangi 😍😍😍 uliumbwa ukaumbika
huna baya mwenyewe mtoto mzuri.. macho ya kipekee ngozi ya rangi 😍😍😍 uliumbwa ukaumbika
🥰huna baya mwenyewe mtoto mzuri.. macho ya kipekee ngozi ya rangi 😍😍😍 uliumbwa ukaumbika
anakuwaza au anawaza pipe 😀😀
Ahsante nkamu, gauni la Christmas 😂Nkamu gauni lako zuri
She's cute😍Nusu ya moyo wangu,hapana robo tatu ya roho yangu.View attachment 2478285
Asante sana.She's cute😍
😀😀TuliaKheee embu jaribu pm kwangu tuone shem
Kazuri mashallahNusu ya moyo wangu,hapana robo tatu ya roho yangu.View attachment 2478285
Leta kipapatioNawasindikiza ndugzangu wananzibar sema January ngumu kilamtu aje na soda yakeView attachment 2478439View attachment 2478440
Hongera sana. Ni karembo. Mwenyezi Mungu amlinde.Nusu ya moyo wangu,hapana robo tatu ya roho yangu.View attachment 2478285
Asante sanaaaaa .Hongera sana. Ni karembo. Mwenyezi Mungu amlinde.
Asantee.Kazuri mashallah
Njoo karibuLeta kipapatio
Hakika ERoni anakula vyakula vizuri, hapo bado mpishi tu kuliwa na ni 🔥🔥🔥Nawasindikiza ndugzangu wananzibar sema January ngumu kilamtu aje na soda yakeView attachment 2478439View attachment 2478440
Nakuja na JuniaNawasindikiza ndugzangu wananzibar sema January ngumu kilamtu aje na soda yakeView attachment 2478439View attachment 2478440
Karibu mzima auntNakuja na Junia
umechelewa kupika, na njaaa sasa.. ulienda kuzurula eeh