Selfika na JF: Snap it. Show it

hahaha huyo ni balaa aisee .
sijui ni mkuria wa wapi huyo nyamongo au wapi ?
kha anatukanaje watoto hivyo
 
mambo gani hayo dah
hakwenda hata kumshitaki dawati la jinsia huo ni uonevu .. Mungu aniepushe na watu wa kule dah
sijawahi hata kupigwa duh
Aende kushitaki hajipendi??? Atarudishwa kwaooo kwa muda usiojulikanaaa hadi akili imkae Sawa
 
Halafu unaambiwa wanawake wa kule ndio wanapenda swaga hizo yaani asipopigwa eti anaona kwamba hapendwi
 
Huyo angekutanaa na kichaaa km miee ningemfurahishaaaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…