Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,552
Umeenda kanisani lkn?Eeeh![]()
Umeenda kanisani lkn?Eeeh![]()
Siku ona Miss Bantu. Nilikuwa napaka rangi nchi.
Maisha mazuriiii!
We mzeee umenikumbusha mbali saana. Au zile mbanga za hall 5Maisha mazuriiii!
Kelele za njaaaaaaaaaa
Hazisikiki tena.
Noma Sana babu!!!We mzeee umenikumbusha mbali saana. Au zile mbanga za hall 5
Hahaha unateketeza pesa kisha unaweka bili ya Kula daruso bar pale semmister yote RB kubwa saaafi. Na maji ya kudownlodNoma Sana babu!!!
Vijana mlikuwa hamuelewi mmeshatekeza pesa zote corner bar sinza!
Mkirudi Ni mwendo wa njaaaaaa tu;
MorningNoma Sana babu!!!
Vijana mlikuwa hamuelewi mmeshatekeza pesa zote corner bar sinza!
Mkirudi Ni mwendo wa njaaaaaa tu;
Nakumbuka nilikuwa nawatia Kama 90 cafe2. Apo ni mwendo wa rb mpaka kiungulia kinakuwa sugu.Hahaha unateketeza pesa kisha unaweka bili ya Kula daruso bar pale semmister yote RB kubwa saaafi. Na maji ya kudownlod
Morning tooMorning
mzima weweMorning too
Jirani mzuri mzuri.
Jana nilikuwa mbudya naogelea tu.
Ntakuselfisha usikumzima wewe
nakuona aisee ulivyoenjoy
jana nilikuwa busy na wageni huku .
siwezi kupanda aiseeNtakuselfisha usiku
Ulikosekana wewe tu kwenye boti
Nakumbuka nilikuwa nawatia Kama 90 cafe2. Apo ni mwendo wa rb mpaka kiungulia kinakuwa sugu.
Kama sielewi zaidi nachukua mkate ule mkubwa kariakoo na ugawa mara tatu babu apo nachemsha na chai; nikitoka nje ni bonge la brazmen tu



Mguu wa beer niutoe wapi?Hahahah wewe ukiweka miguu ya beer tuu inatosha






Hahaha mzeee sio chama la Wana Kwa kalito wavuvi campMorning too
Jirani mzuri mzuri.
Jana nilikuwa mbudya naogelea tu.
Ngwaduuu ndio type zetu hizo portableMguu wa beer niutoe wapi?
Nina ngwaduu tyuuh hapa.