Hahaha safari njemaMda huo Mie ntakuwa nipo kwa mwamposa nimeenda kula vichwaa; si unajua leo jumapili pale Watu Kama wote.
Usisahau kubeba memory card leo T.
Leo jumapiliHahaha safari njema
unabadilisha tu route
hii memory inanigomea ..kwenye simu haionyeshi .
hahah wanawakaba aiseeLeo jumapili
Hawa rangi nyeupe hawapo
Tunavuruga tu leo.
Simu 2000_mnazi mmojahahah wanawakaba aisee
nilikuwa nawaonea huruma magari pale mawasiliano wapo , ukija Mwenge ndo wanawasubiria .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ah wapi
mshamba mmoja tu hapa
sipo na usistaduu .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Rangi rangi ile ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sikuhizi nakujaga pale getini magu host na park nachukua zangu namba mbili tatu; mshaleee.
Najisemea nilikuwa nawala kwa macho tu enzi zile napiga chato pori to mabibo;
Hebuuu huko naweee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha maneno tupia pic[emoji28]
Yani wenzako wanapelekwa kula maisha; we uko kushangaa shangaa kindezi ndezi tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo naelekea maeneo, nikaanze kuheshabu magari yanayobeba dents,
Mwingnee kaachiwa ukimwiii, anabakii kuhaha, afu dogo wa 2nd yr, alidhan kupanda Prado TX mchezoooo.
Nawatazamagaaa nasema hiiii. Lol
Sababu babe wangu ameomba pic nakutumia vocha soon!Hebuuu huko naweee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tupiaa vochaaa, pic hai load et.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niwaoneee wivuu mie?? Nimechekaaa sanaaa. Alikua analia kwangu na nlimuuliza ume date na wangapi, alisema wa 3 ila homa lazima amepata kwa yule baba. Wawili ni wanafunzi wenzie.Yani wenzako wanapelekwa kula maisha; we uko kushangaa shangaa kindezi ndezi tu.
Sema story za dent wa prado ni wivuuu tu! Hahaha tatizo wengine hamna nyota.
Hebu nitumieee harakaa bas.Sababu babe wangu ameomba pic nakutumia vocha soon!
Kwaiyo unatupenda dogo dogo Kama siye aka viben 10[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niwaoneee wivuu mie?? Nimechekaaa sanaaa. Alikua analia kwangu na nlimuuliza ume date na wangapi, alisema wa 3 ila homa lazima amepata kwa yule baba. Wawili ni wanafunzi wenzie.
Ningetaka kudate na ma profoo, bas ingekua tangu niko 4m 3. Sio type zangu mie watu wakubwaaa.
Naenda kuangaliaa ndyooo. Afu sio shda zangu.
Ni shida zake hizoHivi umeona mchumba wako Jack Palladino ana babe mpya lakini?
Mniache mtaniharibia nimetulia kwenye penzi jipya!😅Ni shida zake hizo
Mbona mm nilikugawia kitambo sana huyu[emoji16]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Nani huyo kajichanganya?Mniache mtaniharibia nimetulia kwenye penzi jipya![emoji28]
Mwaka mpya na mambo mapya!