Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,561
- 23,991
Mimi nanunua tu mils chache za kupima.
.
Sikuona maajabu yake ila mwenyewe kila siku anaisifia.
Nimemchukulia Tena.
Na opium, Bila kusahau Sauvage ili equation ibalance.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ni nzuri sana Scandal ingawa ni kali mimi naipenda hivyo hivyo

umenipa idea ngoja nitafute ya Mills chache lol maana na Njaanuary hii nitachina




