Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,499
- 235,201
Ongea vizuri na mtu chakeNdo nasubiri unitumie muamala [emoji17]
Na vile huwa sijui kukata Tamaaa😊Komaa nae kwakweli!😅
Nakuelewa my ex😉Na vile huwa sijui kukata Tamaaa😊
All the best kipenziNdyooooo dear, tunataka tubaki hapa hapa km TA.
kumekucha! Kwani sh ngapi,? Chomoa ka laki kwenye ada kale maisha ticha tutampanga tu [emoji41]
Sisi sio wala ada sasa....kumekucha! Kwani sh ngapi,? Chomoa ka laki kwenye ada kale maisha ticha tutampanga tu [emoji41]
itakuwaje na Ni weekend ?Sisi sio wala ada sasa....
Kwani nyumbani kuna kiingilio??itakuwaje na Ni weekend ?
HAPPY NEW YEAR 2023 SimaraKwa wale wadada mnaopenda sifa na attention hiyo niliyozungushia duara ni best[emoji3]
ingawa mimi huwa nazimix ili mtu asijue ni perfume gani
The WolfLongtime no see....nimewakumbuka wadau., vichenji baada ya kumalizana na huu mwenzi, ntatoboa kweli [emoji848]
Nkamu. Happy New Year....Kwa wale wadada mnaopenda sifa na attention hiyo niliyozungushia duara ni best[emoji3]
ingawa mimi huwa nazimix ili mtu asijue ni perfume gani