CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,065
- 7,651
Kwanza soma kule,, kuna ka upepo ka supp na carry huwa kanapita last year [emoji16][emoji16]Wachaaaa weee??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bas sawaaa
Kwanza soma kule,, kuna ka upepo ka supp na carry huwa kanapita last year [emoji16][emoji16]Wachaaaa weee??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bas sawaaa
We baki na usabato wakoMi msabato wewe![emoji35]
Nenda kapate kitimoto na bia!We baki na usabato wako
Usabato unao kwenye nguruwe tu,ila ikija pombe basi unauweka pembeni!Mi msabato wewe!😡
Nimeona nichague dhambi mkuu!🤣Usabato unao kwenye nguruwe tu,ila ikija pombe basi unauweka pembeni!
Dah, na mimi ndio nimetoka Church nikasahau kupiga liselfiii langu, basi tena ngoja nile makande hapa!
Liquor na utamu umeshindwa kuacha, kitimoto umeweza. Mimi nimezishinda zote na leo ilikuwa siku ya toba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimeona nichague dhambi mkuu![emoji1787]
Hongera sana mkuu!Liquor na utamu umeshindwa kuacha, kitimoto umeweza. Mimi nimezishinda zote na leo ilikuwa siku ya toba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaniita Mkuu sikuhizi[emoji16]Nimeona nichague dhambi mkuu![emoji1787]
Mbona umepotea sana?😆Unaniita Mkuu sikuhizi[emoji16]
Kweli 2023 ni mwaka wangu kuwa Boss
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ndo nasubiri unitumie muamala [emoji17]Nenda kapate kitimoto na bia!
Komaa na mtu chake 😅Kwahiyo unaniambiaje?
Leo uwanja wako!😉
Komaa nae kwakweli!😅