T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,928
- 30,075
BhageshiNkamu. Happy New Year....
Uwanja huu wa urembo ni wako. Kama vipi tuwekee na cologne tatu za kiume unazozikubali sana...zikiwemo na zile anazotumia Mr.
The best uizungushie duara pia![]()
BhageshiNkamu. Happy New Year....
Uwanja huu wa urembo ni wako. Kama vipi tuwekee na cologne tatu za kiume unazozikubali sana...zikiwemo na zile anazotumia Mr.
The best uizungushie duara pia![]()
HAPPY NEW YEAR 2023 TinsleyHappy new year dear
ukawe mwaka wa baraka tele ..
Ūlīmhola nzunone?Bhageshi
Nalemhola sana ntale oneŪlīmhola nzunone?
Ikalaga mhola nkoyi.
Nagwaminile sana!
Gīdūhoye nkoyiNalemhola sana ntale one
Obheja sana nobebe ukale mhola
Nonene Nagwaminile sana bhageshi maana donamitale na midimu yamumu nkoi

Ugonjwa
Vile ambavyo huwa nawapenda kumsikia mtu ananukia na mimi napenda kunukia
Addiction
Naona umeamua kunitamanisha Nkamu😍
Habari za weekend njema/salama kabisa mpendwaHappy new year too
have it all
habari za weekend .
Ūlīmhola nzunone?
Ikalaga mhola nkoyi.
Nagwaminile sana!

Mwee Nkamu upo kutunyoosha🤭Kwa wale wadada mnaopenda sifa na attention hiyo niliyozungushia duara ni best
ingawa mimi huwa nazimix ili mtu asijue ni perfume gani
Nkamu. Happy New Year....
Uwanja huu wa urembo ni wako. Kama vipi tuwekee na cologne tatu za kiume unazozikubali sana...zikiwemo na zile anazotumia Mr.
The best uizungushie duara pia![]()

Naona umeamua kunitamanisha Nkamu![]()
Nipo tu na black opium+scandal.Hivi umefikia wapi Nkamu na collection yako??
Asante nkamu.Happy New Year Nkamu
Cologne tatu za kiume ambazo nazipenda Mr akijipulizia ni hizi tena hii nyeusi mpaka nimemuibia.
ya tatu ambayo naipenda sijaweka hapo picha inaitwa Jean Paul Gaultier
Thou wakaka wa kibongo wengi wamekariri Sauvage
nimeshindwa kupiga picha na kuzungushia duara sababu nipo Dom na Mr yupo Dar hope nimejibu
Nipo tu na black opium+scandal.
Asante nkamu.
Ngoja nijitoe kimasomaso nimnunulie huyu kakaaipumzishe opium.
nyie nyieMimi nanunua tu mils chache za kupima.Scandal ni nzuri sana yangu imeisha kila siku najisemesha nitanunua ila naona hela haikamatiki
Nkamu umekamatikaaaaanyie nyie
