Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Ooh okay vizurinayo siku nzuri pia; sitaamsha chuma kitakuwa service kwa fundi Michel.
Unapaki wapi ?
Ooh okay vizurinayo siku nzuri pia; sitaamsha chuma kitakuwa service kwa fundi Michel.
Kwa kweliiiiiiii.Hahha tuombe Mungu tu
Duh kumbeAchana nae huyooo, hajawahi hata ku appropriate mambo yangu.
yuko bitter sana na mie.
Mianzini!Ooh okay vizuri
Unapaki wapi ?
Nampendaaa huyu kaka ni handsome balaaa,
nielekeze nitoke nilione 😅Mianzini!
Njoo nikupakie nikupeleke kitambaa;Achana nae huyooo, hajawahi hata ku appropriate mambo yangu.
yuko bitter sana na mie.
Mwite aje kwanza... kuna mtu alimtisha anaogopa sasaE
Embu muage sumbai vizuri kwa selfika mkuu
Hahaha! Umejuaje vile.nielekeze nitoke nilione 😅
Hapo Lake oil au ?
Njoo nikupakie nikupeleke kitambaa;




leo nilikua na swax bhanaa, acha tupige story, Usiniambie; Niko zangu hall 7 uku nasubiri pisi mbili nizipeleke tabata.leo nilikua na swax bhanaa, acha tupige story,
Nkakukumbukaa wee.
hahha una bahati niHahaha! Umejuaje vile.
Usishangae sasa mzee wa Iturihahahaha, kudadeki
Nitagacha tukaendelee na story kule na mzeepond badae nilale
Sizani kama ni mimba.... Au sijamuelewa vizuri tinsley...
Umeahafika nyumbani eeh
Haha wahi kutoka alfajiri Sasa;hahha una bahati ni
.nimechoka