kiduku mpapaso
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 1,987
- 4,872
Wanakusagia kunguni sioNyie vijana sio watu wazuri kabisa, nipo PM na babe wangu namuweka sawa mshamvuruga sana daah!
Glenn
Wigelekelo
ERoni
Wanakusagia kunguni sioNyie vijana sio watu wazuri kabisa, nipo PM na babe wangu namuweka sawa mshamvuruga sana daah!
Glenn
Wigelekelo
ERoni
Mambo madogo sana haya!Msalaba huu utaufikisha golgitha dogi?
Naona unajikaza sana🤣🤣
Vibaya sana!Wanakusagia kunguni sio
Una nini lakini na babe wangu 😂😂😂😂😂Ngoja wavulana waje
Jack Palladino
Pambania kombe hiloVibaya sana!
Huna lolote ndugu yangu huyo, usimdanganye. Tinsley maindu kuwa naye makini, asikudanganye... alikuwa shemeji yako zamani.Mwanangu kuna jambo nimelisikia limeniumiza kichwa unaweza kuja kunifafanulia? Nimeogopa kidogo
Acha kupanic ex nampa tahadhari kabla ya hatari mbele...Usilete ujinga huyu ni binti yangu wa damu hatuongeagi ujinga wewe
Tinsley
Mie nimeokoka bro.. sipo kwenye kundi lenuHaya majamaa ya jf kina @wigeleko na National Anthem utaweza kupambana nayo?🤣🤣🤣
Napambana nao mkuu!Pambania kombe hilo
Unamzingatia sana cocaAkya nani ... mwaka umeuanza vizuri shos.
msome kidogo kwanza baadae mtaenda
roho inamuuma sana huyo kijana kwa kumgaragazaUncle ngoja National Anthem akija akushushue, kama wewe siyo ex wangu atasema.
Asante dogo kuanzia leo nakufuta jina la shetani🤣🤣🤣Mie nimeokoka bro.. sipo kwenye kundi lenu
Huku ndani kwa ndaniMambo madogo sana haya!
Bado hujapenda mkuu!😅Huku ndani kwa ndani
Matusi kama yote yanakutoka
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app