Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Tatizo wanahisi mimi kama wao!...Wanazusha kuhusu kubadili wanawake🤣Mkaka kabisa, unanimudu ipasavyo...
Sijui kwanini wanakuona mdogo babe..
Au ile badilisha badilisha wanawake 😄😄😄😄😄
Tatizo wanahisi mimi kama wao!...Wanazusha kuhusu kubadili wanawake🤣Mkaka kabisa, unanimudu ipasavyo...
Sijui kwanini wanakuona mdogo babe..
Au ile badilisha badilisha wanawake 😄😄😄😄😄
Haswaaaaaah dear. Ila nna kanuni 1, mguu m1 nje.mapenzi yanaanza hivyo mwisho wa siku umezama kwenye huba zito .
Hahha usimwache please[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzuri wake mie mzungu.
Terms n conditions, genius anajua. Akizingua ameishaaa.
Nimenyooka km rulaaaaaa.
Afanye kujaribu na kuleta mrejesho kwanza, otherwise bado hatujampitisha, Jack Palladino upo vizuri mkuu?Size yake kabisa, anafit waambie 🤣🤣🤣🤣🤣
Dyadyaaaaa nimepata bwanaa npyaaa.Kho khokhoo
Chat na picha wajomba na mashangaziiii
HongeraHaswaaaaaah dear. Ila nna kanuni 1, mguu m1 nje.
Huwa siingiagi mazimaa eti, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo vizuri kila angle mkuu!Afanye kujaribu na kuleta mrejesho kwanza, otherwise bado hatujampitisha, Jack Palladino upo vizuri mkuu?
Upunguze zile spirits chief, hizi machine zinataka utulivu sio kidogo🤣🤣Nipo vizuri kila angle mkuu!
😂😂😂😂Kaka ake nimechekaWatu kama nyie ndio tunawapa vijana tahadhari mapema, wawe na pulling ya kutosha🤣🤣🤣hujambo mdogo ake?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] moyo huo Jah hajanipaaa,Hahha usimwache please
hivi wewe haumiii ukiacha mtu ..
Hii chapa ya ng'ombe mkuu!Upunguze zile spirits chief, hizi machine zinataka utulivu sio kidogo🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie mwenyewe sijiamini, ndo nimuamini mwenzang? Hapanaaaaa.Hongera
mimk siwezi hivyo ... labda nisikuelewe .
😂😂😂😂😂Dyadyaaaaa nimepata bwanaa npyaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niombeee mdogo wako, nimezamaaa haswaa,
Marahaba mdogo ake, au nimeongopa? Selfika kidogo tu hapa uone kama hawakimbii wote, hawana pulling hata kidogo🤣🤣😂😂😂😂Kaka ake nimecheka
Sijambo shikamoo kaka
i wish niwe nunda hivyo ..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] moyo huo Jah hajanipaaa,
Mie naangalia furaha yangu tyuuh, mengine hayanihusu.
Mzungu mie eti. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haha hujiamini lol[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie mwenyewe sijiamini, ndo nimuamini mwenzang? Hapanaaaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mdogo wangu nimeona tashtiti zako huko juu..Yani nimechekaaa
Ikawe kheri mdogo wangu..cheza kwa step tu
[emoji3589]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naogopaaaaaaah!!!i wish niwe nunda hivyo ..
ila ukibebaa mimba utaanza fikiria tofauti .
😂😂😂😂Kaka ake ..Sina jipyaMarahaba mdogo ake, au nimeongopa? Selfika kidogo tu hapa uone kama hawakimbii wote, hawana pulling hata kidogo🤣🤣