Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nyie vijana sio watu wazuri kabisa, nipo PM na babe wangu namuweka sawa mshamvuruga sana daah!
Glenn
Wigelekelo
ERoni
Dogo ungempa ukweli mapema haya yasingekukuta.
Ule ushauri niliokupa pm uufanyie kazi.
Lakini na kuhusu wale wake zako 5 wenye watoti nitamueleza kama ulivyoniomba nimweleze Bantu Lady
AKishindwa kunielewa nitawashirikisha
Wigelekelo na ERoni 🤣🤣🤣
 

Yaan navurugwaaa, nataman dunia itulie nihutubie kuwa nipo kwenye mahusiano. Yaan nipo kwenye penzi haswaaaa.

Waoooh 😍😘
Nafurahi kukuona una furaha mdogo wangu
Enjoyyyyyy .. ❣️
 
Friday!!!... Mood for some chicken and chips 🥂
20230106_125051897.jpg
 
Back
Top Bottom