Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Binti yangu unaujua upendo wa dad kwako usiniangushe kipenzi.
Ukimpata jambo la kwanzo umjulishe
Anti yako Chakorii amfanyie tathmini kabla haijanifikia mimi ee😂
Bila shaka Dad usiwaze nitamleta kwenu mfafanyie preliminary investigation .
 
Huyo ni bonge la bwana
nawaombea mafanikio tele .. ulianza kama masihara leo hii mambo yamenoga ..
mapenzi matamu kama asali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kila nikikumbukaa huwa nachekaaa,
Km masikharaaa, afu sikua serious, nilikua na jokes tyuuh.
Siku 1 tyuuh ikafanyaa leo penzi limebambaaaa.
 
Back
Top Bottom