Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Jipe moyoUzuri hapa amefika mkuu![]()
Li Budege nakuzoom tu
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Jipe moyoUzuri hapa amefika mkuu![]()
mpare huyo ajengewe tuzo kabisa ..Weuweeeeeeeee mpareee huyoooo.
Afu sio bakhiri sasa, aiiiiiiiiiiiiiiiii
Nna bahati na wapareeee mie.![]()
Babe Bantu Lady tuwapumzishe wana hasira sana aisee!Una wasiwasi sana
Utadhani unaogea nje
Mchana wa jua kali
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Mimi nawaombea mfike mbali, tupate hadi wajomba kabisa, ila akipenyeza halafu akakuacha sitafurahi🤣🤣🤣 lakini mkiachana pia usiache kutupa habari, the project is underway🤣🤣Mnavyompiga vita babe wangu, ila ndiyo nazidi kumpenda zaidi na zaidi...
DuhBabe Bantu Lady unamsikia huyu?
Huyu amenikubali mwenyewe hamna aja ya kupiga pande!bas lekchalaaaa nimeachaaa, staki umkosee mtoto mzuri wa, mbantu kweli kweli.
Au nikupigie pandee la uhakika, mie ni kuwadi mzoefuuu.
![]()
OvyoooHapa kishafika, hatoki, hang'oki...
Glenn hujakata tamaa nikuunganishe na Valentina maana kwakuwa nyinyi ni ruba mtagandana haswaaa...
My Jack Palladino I love you![]()
mpare huyo ajengewe tuzo kabisa ..Weuweeeeeeeee mpareee huyoooo.
Afu sio bakhiri sasa, aiiiiiiiiiiiiiiiii
Nna bahati na wapareeee mie.![]()
Chief mie nakuombea, hii bahati usiiache, wakurya ni wife material sana, hawana mambo mengi na wengi wao wana dini sana, utaenjoy. Ila mkiachana tu tafadhali toa taarifa 🤣🤣🤣Huyu amenikubali mwenyewe hamna aja ya kupiga pande!
Mwanangu kumbe umekua?🤣🤣🤣mambo yamenouga weh
anakufikisha palipo
hahah wote viportable alooh.
Naona genius kaingia hadi kwenye damu ... shikilia hapo hapo
Mbona kuachwa, nitahama unajua ERoni uso wangu nitauweka wapi miye Jack akiniacha...Mimi nawaombea mfike mbali, tupate hadi wajomba kabisa, ila akipenyeza halafu akakuacha sitafurahi🤣🤣🤣 lakini mkiachana pia usiache kutupa habari, the project is underway🤣🤣
mambo yamenouga weh
anakufikisha palipo
hahah wote viportable alooh.
Naona genius kaingia hadi kwenye damu ... shikilia hapo hapo




bestiee nashikilia haswaaa. Kidudu mtu kisipite kati yetuuu.
Tena amenijia pm anasema hakupendi bali unamng'ang'ania.Mbona kuachwa, nitahama unajua ERoni uso wangu nitauweka wapi miye Jack akiniacha...
Halafu apate mtu hapahapa hakuna rangi nitaacha ona. Nipe mbinu nisiachwe kwenye mataa... Project??????
Hahaha nimekua aiseeMwanangu kumbe umekua?🤣🤣🤣
Niletee mkwe haraka siku ya harusi nitakukabidhi ufunguo🤣
Thanks mkuu! Ila kuachana hapana kabisa😅Chief mie nakuombea, hii bahati usiiache, wakurya ni wife material sana, hawana mambo mengi na wengi wao wana dini sana, utaenjoy. Ila mkiachana tu tafadhali toa taarifa 🤣🤣🤣
Haswaaaaaah dear.mpare huyo ajengewe tuzo kabisa ..
Anakupa vitu msingi kabisa .





Tulia kwanza huko. Hivi Mnyonya mbususu kapotelea wapi? Toka 2023 sijamsikia sijui yuko salama. Walimu wangu nyie nawapenda 😛😛😛😛
Watu weuweeeeeeeeeeeeeeee!!!Huyu amenikubali mwenyewe hamna aja ya kupiga pande!











Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu wewe komaza shingo utalia mbeleniMnavyompiga vita babe wangu, ila ndiyo nazidi kumpenda zaidi na zaidi...
Huyo ni bonge la bwanaHaswaaaaaah dear.
Napendaa yuko slowly, mkimyaa, mpoleee.
Muelewaaa, afu anapendaa kwa dhatiii sasa, labda nizingue mie.
Maana mwenyewe kichwa hiki hakijakaa vizuri,
Ila hapa acha nitulize wengee, huenda watu watakula ubwabwaa.