Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Muwa post na babez zenu au hawavutiii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnadate na madunga yembe lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nashangaa kweli humu wanaume wanaweka sana watu wao na they feel proud of them wanawake sijui tunakwama wapi!! Mi mbona niliwawekea ile siku mkawa mnashamala wapi huko sijui!!
 
Nashangaa kweli humu wanaume wanaweka sana watu wao na they feel proud of then wanawake sijui tunakwama wapi!! Mi mbona niliwawekea ile siku mkawa mnashamala wapi huko sijui!!
Wanadate na madunga yembee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lenie leo kampost babee wake, mie piaa.

Hawa wengine wanakwamaa wapiiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom