kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 6,152
- 15,797
Sexyninawasalimu
View attachment 2470190

Sexyninawasalimu
View attachment 2470190

😊😊😊 Glenn kirusi kikali sanaaa kimbia kabisaaNilianza kujirudi na kumuamini Glenn Ila alichoniambia National Anthem usiku huu!!! Nimebadili mawazo. Nabaki na Jack wangu tu
Lazima atembee na beat langu, hataki bas tupishanee swezi kuwa na mtu sina furaha nae, siweziiiiKwamba lazima atembee na biti yako sio
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kweli dear Mi nataka kupunguza trumboo tyu mwili mzima hapana!Kuna mdada yupo Znz anauza dawa za miti shamba za kupunguza tumbo au mwili mzima.(kupungua mwili mzima sio kweli yaan Kwa maana hiyo hadi tako litapungua )wee kiranga kwio…kupungua nataka lakini tako nalipenda zaidi😅
tatizo la jamaa anabadirisha sana, kwa utulivu Bantu Lady sio sawa kufumbia macho lazima tuseme tuuSophy hajambo kabisa mkuu, naona hamumtendei haki Glenn, huyu Bantu Lady naona anaamua kumchinjia baharini waziwazi na nyie wapambe mpoo!!
Babe Bantu Lady tupia dk 2 unatoa!😊Naombeni selfii pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!! Ntazidiwa tena mimi mjue😌😌!
Kuna mdada yupo Znz anauza dawa za miti shamba za kupunguza tumbo au mwili mzima.(kupungua mwili mzima sio kweli yaan Kwa maana hiyo hadi tako litapungua )wee kiranga kwio…kupungua nataka lakini tako nalipenda zaidi![]()







trakoooo na mie trakooo nalipenda mnoo. 





Fanyeni hivo nipate ahueni hukuuu!!😌😌Babe Bantu Lady tupia dk 2 unatoa!😊
Jion nilichungulia hola,,, cjaingia Tena kule ,,,, ! Hopefully umeenjoy ile nyinginekitalembwa Lovelovie vipi Master keshashuha ep 17 hukooo?? Naona kumechafuka hatari
WeuweeehBado hajawa sharobaroo, ndo natakaa nimshapee awe sharobaroo.
Napenda tyuuh sio muumini wa official code, labda suruali za vitambaa ndo sanaaa kwake anavaa
Kipenziii changuuu.
Akili mingi himself.
![]()
Glenn Glenn Glenn Glenn 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣tatizo la jamaa anabadirisha sana, kwa utulivu Bantu Lady sio sawa kufumbia macho lazima tuseme tuu









Ile nimeinjoy sana rafiki Hivi inaendelea pia??? Huko mbele asije kuleta siasa za kununua tsup tu huwa wanaanza vizuri badae wanazingua!Jion nilichungulia hola,,, cjaingia Tena kule ,,,, ! Hopefully umeenjoy ile nyingine
Weuweeeh
the man himself , genius wa Coca
Hahaha hupendi official wewe unamtaka mwenzio awe hivyo hivyo






sipendii avae official code mie. Pale Ni mwisho,,,, stay tunned kasema Kuna season 2Ile nimeinjoy sana rafiki Hivi inaendelea pia??? Huko mbele asije kuleta siasa za kununua tsup tu huwa wanaanza vizuri badae wanazingua!
Aisifuye mvua imemnyeshea sio?🤣BRo naona unatumia nguvu nyingi kuzuia dada zako.
Unawaonea wivu?😂
Huu ni mwaka mpya sitaki takataka zako
😊😊 si umeona nimekuwa adimu, fulltime kubembelezaWako poa sana mjomba!! Vipi mgoree alige??
Weeeeeeh em ngoja nionekitalembwa Lovelovie vipi Master keshashuha ep 17 hukooo?? Naona kumechafuka hatari
Bora ashushe kitu kingine master ashakua supastar Kule shobo kama zote sikuhizi!Pale Ni mwisho,,,, stay tunned kasema Kuna season 2