Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Yani wewe nakutafutia SC moja ikuletee mawazo muda wote.Hongera sc uko juu mamy
Asante G.
Umepotea sana na wewe…habari ya siku mobu
Yani wewe nakutafutia SC moja ikuletee mawazo muda wote.Hongera sc uko juu mamy
Thank you 💕Mrembooooo kipenziii
Trauzaa imekaa penyeweeee.
![]()
Mtoto mzuri sana!🙌
Siku nyingine ukiyarudi ujiselfii kabisa uje kunibless nife Mbavu nirurahii naroho Yangu mieee🤣🤣🤣🤣mbna leo jiraniii kanifaidiii wallah.
Sio kwa mambo hayaa nilofanya, khaaaah.
mwenyeweee nkikumbukaaa nachekaaaa sanaaaa, nlitimua mbioo hatareeee. Uwiiiih
Hakikaaaa haswaaaa,Mwanzilishi mwenyewe
😘😘Marhaba
Asante 💘💘Umekua modooooo😍😍😍😍😍! Hauna kitambi kabisa saiviii🔥!
Hoooooottttt 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥!
Nougaaa sana mamy!
Tena mtulivu hana mambo mengi kabisaaa!! Wenzio hapo wanammezea mate tyu sasa wewe jitoe ufahamu uone! 😁Mtoto mzuri sana!🙌
AmenWewe ni binti yangu wa maana nakuombea mwaka usipite kuwa na mume bora na sio mchumba
Ahahahha.Bhana hapa jobless ni mie tyuuh, na isitoshee wapangaji wenzangu huwa wanachelewa kurudi, na hatuonan inaweza pita hata week 3, yaan hata weekends sio rahis sanaa, ni mara chache mnoo. Kila mtu yuko buzzy na life lake, mambo madogo madogo tunamalizana kwa simu.
Km kawaida mie ndo huwa nawahi kurud hapa, sasa leo kumbe aliwahi kurudi mwingne, sijui yuko off au alikua na tatizo gan. Afu ana gari, sasa ningeona pale parking ningejua kuna mtu yupoo. Sasa hajarud nalo.
Bas bhana mie fungua gate ingia ndan huku naskiliza music kwasikio 1, c ikawa inaimba "shake body " ya Skales wee nilichachawa nkakumbuka enzi zangu nikiwa dancer, nsichomoe
na kuacha cm iimbe yenyewe pandsha sauti weka chini Pa1 na mkoba, nkaanza shushaa mautundu yangu hapooo, kata viuno juu had chini. Yaan niko serious mwenyeweee nshachachawa hapo, kumbe jiran yuko kwake ananichabo dirishan, uvumilivu ulimshinda kwann asichekee kwa nguvuu,
Nlishtukaa ghaflaaa, okota vitu vyangu chini huyoo had kwangu fungua mlango tangu nlivoingia ndan had sahv, naona aibu sijui kesho itakuaje. Bora nisionane hata mwezi upite atakua amesha sahau,
Mie nna heka heka wallah. Khaaaah
Naona hapo kwa avatar umemweka bwana ako. Ahahaha.Naaam kakake Mess
Mwenzako huwa naji record afu narushia kwa PC, maana cm enyewee hii naweza poteza,Siku nyingine ukiyarudi ujiselfii kabisa uje kunibless nife Mbavu nirurahii naroho Yangu mieee![]()












mood ikija hapo hapo. Neiba wangu huwa wanafurahi mnoooo.Huyu wa kuweka ndani kabisa nipunguze vurugu!Tena mtulivu hana mambo mengi kabisaaa!! Wenzio hapo wanammezea mate tyu sasa wewe jitoe ufahamu uone! 😁
Sijaona aiseeHakikaaaa haswaaaa,
Nilimpost rafik ako HB wee haukuwepooo.
Tena aweke ule mshepu wenyewe watu wakufweeeee🤣🤣🤣😁😁!! Bantu Lady namie magonjwa Naomba unibless nipate nafuu nataka nirare kipenzi!!Babe Bantu Lady tupia pic moja ikae for 2mins then itoe tuzidi kuwavuruga!😘
Kabisa lectHuyu wa kuweka ndani kabisa nipunguze vurugu!
Helloowww babegirl ✋Sijaona aisee
nilikuwa busy na upishi kidogo.