Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Bhana hapa jobless ni mie tyuuh, na isitoshee wapangaji wenzangu huwa wanachelewa kurudi, na hatuonan inaweza pita hata week 3, yaan hata weekends sio rahis sanaa, ni mara chache mnoo. Kila mtu yuko buzzy na life lake, mambo madogo madogo tunamalizana kwa simu.

Km kawaida mie ndo huwa nawahi kurud hapa, sasa leo kumbe aliwahi kurudi mwingne, sijui yuko off au alikua na tatizo gan. Afu ana gari, sasa ningeona pale parking ningejua kuna mtu yupoo. Sasa hajarud nalo.

Bas bhana mie fungua gate ingia ndan huku naskiliza music kwa sikio 1, c ikawa inaimba "shake body " ya Skales wee nilichachawa nkakumbuka enzi zangu nikiwa dancer, nsichomoe na kuacha cm iimbe yenyewe pandsha sauti weka chini Pa1 na mkoba, nkaanza shushaa mautundu yangu hapooo, kata viuno juu had chini. Yaan niko serious mwenyeweee nshachachawa hapo, kumbe jiran yuko kwake ananichabo dirishan, uvumilivu ulimshinda kwann asichekee kwa nguvuu,

Nlishtukaa ghaflaaa, okota vitu vyangu chini huyoo had kwangu fungua mlango tangu nlivoingia ndan had sahv, naona aibu sijui kesho itakuaje. Bora nisionane hata mwezi upite atakua amesha sahau,

Mie nna heka heka wallah. Khaaaah
😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Walaii Nimechekaaaa 😂😂🤣😂🤣😂!
Sikupatii picha uvochachawaaaa nakujiachiaa Huku jirani anakuzooom tyuu🤣🤣🤣😂😂🤣🤣!!


Hizo mbio zakee hujaacha kiatu nje kweli khakhakhaaaaaaaa!!
Umepatikanaaa leoo
 

Walaii Nimechekaaaa !
Sikupatii picha uvochachawaaaa nakujiachiaa Huku jirani anakuzooom tyuu!!


Hizo mbio zakee hujaacha kiatu nje kweli khakhakhaaaaaaaa!!
Umepatikanaaa leoo
mbna leo jiraniii kanifaidiii wallah.
Sio kwa mambo hayaa nilofanya, khaaaah.

mwenyeweee nkikumbukaaa nachekaaaa sanaaaa, nlitimua mbioo hatareeee. Uwiiiih
 
Back
Top Bottom