Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Eeeeh sasa kituu enyewee silipii wala hakihitaji charge au luku.
Acha nikipe ile rohoo inapendaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
lol umepewa bure mwenyewe 😅 .
 
Eeeeh sasa kituu enyewee silipii wala hakihitaji charge au luku.
Acha nikipe ile rohoo inapendaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kitu chenyewe umepewa bure kwa nini uteseke na nye ___geee uje uwe kichaa bure
 
ni sharobaro au yukoje
ungempa smile aone dental formula hiyo .
Alivaa cadet rang ya kakhi, laba km kijivu hiv, shati la 4m 6 jeusi,
Saa, mkononi cm yake, kanyoaa afro kiduku, yaan yuko smart.

Tall, slim, dark skin, ooooohhhhhppppssss!!!
 
kwa kuelezea tu hapo amependeza ...

Vipi hanukii vizuri ? hii huwa inawadatisha wadada wengi
 
Alikua ananukiaa harufu ya perfume ambayo hata Genius alishawahi tumia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Harufu nzuri ilee, afu tunatafuta hatuipatiiii.
 
Back
Top Bottom