Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG_20230105_112736.jpg
 
Ila jaman chuoni kuna wanaume wa haja, leo asubuh nimepishanaa na mkaka yuko vile ambavyo mie napendaa, tukaishia kupeana hi.

Kwenda mbele kdg nkageuka kumtazama kumbe naye aligeuka kunitazama, tukagongana macho, aaah nkageuzaa shingooo huyoo zangu nlikokua naelekeaa.

Sijui yuko mwaka wa ngapi yulee.
 
ni sharobaro au yukoje
ungempa smile aone dental formula hiyo .
 
Back
Top Bottom