Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nilikuwa naomba usije atii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jack Palladino yuko kimyaaaa sijui anasoma tu. Leo nimeyakanya rafiki yangu. ERoni anaokoa jahazi. Wewe unalizamisha [emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na watch li muvi lenu

Kwa hiyo umeyakanyaga Kwa injinia?

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
Glenn serious mimi ni ndugu yako? Na hiyo emoji umenijua kuwa nimimi? Text me kama una namba yangu, uwiii nimefikiwa na ndugu yangu 🤣🤣🤣🤣🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Unataka uujue utambulisho wangu nje ya jf?
Nitakosa uhuru.
Ukitaka nikupe vidokezo hadi unapokaa na mengineyo...ni pm pekee ndipo utajua nimekufahamu au la
 
Back
Top Bottom