Unaonekana msiri sanaNi kweli Mkuu, ukiwa welcoming watu watakuwa open kwako..
Sema Mkuu its very risky watu hawana vifua..
Bora kuwa cautious tuπ€£π€£π€£π€£
Ke ni hatari.. Nina karafiki kangu kakike yaan hakana kifua hata kidogo..
Dakika chache tu anatoka kuambiwa asiseme ila chap anakuja kuniambia..
Na anaanza kabisa kusema nimeambiwa nisiseme ila siwez... Huwa niko very cautious when I am sharing my stuff with her maana its in her..π
Kumbeeeeee!!!
Baridi kali sana
MTU akikutizama nawe mtizame tena kaza,mwenyewe anajishtukia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aseeeh kumbee ushanfundsha,
Sahv ntafanya hvyo hvyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sahv watakomaaa mbna. Ntawakaziaa na, mie.MTU akikutizama nawe mtizame tena kaza,mwenyewe anajishtukia.
Mtu atakusemesha bila kupenda[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sahv watakomaaa mbna. Ntawakaziaa na, mie.
I'm glad umechat hivyoPoa Mkuu nashukuru sana for your time..
I learnt a lot from you Mkuu wangu Tinsley
Leo nimevunja rekodi ya kupost toka nianze kutumia JF.. Uvivu!
Stay blessed π
Good morning madamIm glad umechat hivyo
unaweza kuengage zaidi humu Jf ... i think itakusaidia kidogo ..
Shikamoo BossGood morning madam
Marahaba mdogo wanguShikamoo Boss
habari za asubuhi ?
π€£π€£Wigelekelo tafuta chaka la kuniweka rafiki yangu ππππ
Aione Jack Palladino
Valentina nimewaachia mtu wenu π€
AiseePole sana umeyataka...
Subiri nipate mtu π€£π€£π€£π€£
Acha wivu my ex π€£π€£π€£π€£π€£ si umeniacha? Halafu nimekimbia mitala, una wake wengi sana GlennAna umri gani huyu unamdanganya hivi?π€£π€£π€£
Bantu Lady