Mambo kaka Wige 😅Mzee wa Ituri
Heri ya mwaka mpya
Ulijificha na nani aisee
Tinsley nae kaonekana Leo
Nyie watu nyie[emoji1787]
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndiwooooooo niachieni boss wangu Mjep ,Nakufwaaaaa Cocaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe shem wangu. Hata hamna kitu alionyesha upendo wa malike km yote. Nikashukuru jamani.. miye wangu Jack Palladino hata sipepesi macho kwingine love
😂😂😂Mimi nikipata nitamuita aunt yangu coca anisaidie ulinzi naona Yuko vizuri😂😂akichoka kumlinda amkule tu yaishe 😂😂😂Madam Nawe chunga wako au ndio Weee wako wanakuchungia???? 😁😁😁😁😎😎
Jf sihamiiiiii 💃💃🤸🤸🤸
Wew ndo naona umevuta bangi mbichi Leo😂😂😂😂Wanaselfika mlichokula leo mnajua wenyewe!! 😁😁😁
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee lekchaaa vipi? Jimbo la Mjep hili.Dogo mshenzi sana huyu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mademu wa kikurya
Mna ngozi inayoteleza
Nadhani samli maziwa na kichuri
Ukinipa mbona fresh tu
Ila Mimi kugandana kama brake pads hapana
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Eheee Mjep hongera sana mkuu!..umewezaje kukituliza hiki kiumbe?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee lekchaaa vipi? Jimbo la Mjep hili.
Hana mambo mengi afu, c unaona alivyo mzungu wa rohoooo
Mumuacheee mkalia ini wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sitakiiiiii utani kwa mume wangu, nimemtengeneza mie huyu na kumshapee awe hivi. Afu watu wanataka kumkwapuaaa??Naona Unaua yeyote ataeingia 18 zakoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji123][emoji123]!!
Jf sihamiiiiii [emoji126][emoji126][emoji126][emoji1732][emoji1732]
Waniachieeeee engineer wanguu, sitakiii utaniiiii.Wee mkurya kweli wewe?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Gecha mtu muraaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mbavuu Zanguuu [emoji1787] cocastic
Ndyoooooooh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Upendo kwanza hela mpaka mwaka 2025
Ongezaaa sauti puliiiiizzzzzzHataki utani na mali zakee bana[emoji23][emoji16]!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mambo mengi gani?? Hebu semaaaaa.Na wasiwasi na huyu dogo ana mambo mengi sana!
Nunua panga kabisa abiria chunga mzigo wakoSitakiiiiii utani kwa mume wangu, nimemtengeneza mie huyu na kumshapee awe hivi. Afu watu wanataka kumkwapuaaa??
Watajua hawajuiii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Bantu Lady mkurya gani wewe hebu muoneshee mngoni huyu hakujuuiiii😁😁😁😁 Bwana si kaja mwenyewe wee mvae tyuuhhh🤣🤣🤣🤣🤣🤣😁😁Sitakiiiiii utani kwa mume wangu, nimemtengeneza mie huyu na kumshapee awe hivi. Afu watu wanataka kumkwapuaaa??
Watajua hawajuiii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayaelezeki kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mambo mengi gani?? Hebu semaaaaa.
Kuwa wazi fungukaaa hapa ruksaaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyokoooooooooooh weee, ntakubondaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weee sema kweli??? uliwe nawe ukiwa unataka / unapenda![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mungu akulinde madamNdyoooooooh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisaaaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kila mtu achunge mzigowake