Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mambo mazuri nimekuandalia[emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em hukooo, hufananiiii hataaaa.
Ndo maana lucie alikutoa nishai, ukaleta mambo ya kibongo kwa watu wakakupiga cha mbavu dadeki.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu cnaaa, aibu ilikupataa shuuu, nlichekaaa na walikukomeshaaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona Lucie tumeshamalizana nae, nitashare pics atleast uone mkono wake😅
 
Antonnia
Shougaaaaa angu uko wapiii naweeee? Njoo nikuonesheee mtokoo wa tar 31 ulio waacha gumzo watu pale Mall. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Aibu niliona mie, had sikua comfortable ikabidi niende njee, uwiiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
Nipoooo hapaa kipenziiii nomekujaaaa!!!
Inaonekana official zinakutoa sana kuliko ile micharuko yako mara kwa mara uwe unatupia zahivooo!!
Haya fanya kunibless nichukue mshono kipenzi
 
Mbona Lucie tumeshamalizana nae, nitashare pics atleast uone mkono wake[emoji28]
Liongooooooooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unadhan utanichotaaa, thubutuuuuuuuu. Ulipigwa cha mbavuuu
Useme ulizoana na stranger huko casino ndo usingizie lucie.

Mxxxxxieeeeeeeew. Hunidanganyiii hapa. Lol

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Liongooooooooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unadhan utanichotaaa, thubutuuuuuuuu. Ulipigwa cha mbavuuu
Useme ulizoana na stranger huko casino ndo usingizie lucie.

Mxxxxxieeeeeeeew. Hunidanganyiii hapa. Lol

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha zakoo Hebu kainjoi mambo mazuri toka kwa lect hukooo huoni mambo yake ya kizungu kizungu???
 
Nipoooo hapaa kipenziiii nomekujaaaa!!!
Inaonekana official zinakutoa sana kuliko ile micharuko yako mara kwa mara uwe unatupia zahivooo!!
Haya fanya kunibless nichukue mshono kipenzi
Kwan nimekuambia natuma official hapaaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Em subiriiiii, mbna una harakaaa hvooo. Kuwa mpoleeeeee.

Sasa kwenye mitoko ya nje nivae official mie huyu wee, kaa hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom