Tuone ulivo kwenye hio boda 😂😂😂!!
Aisee una mwili mzuri sana!
always classy!
kifuaNimejaribu kupiga selfie camera imegomaTuone ulivo kwenye hio boda 😂😂😂!!
Naona watu wanamchana Muraaa analeta usupastaaa kule madoido kibao sikuhizi!!always classy!kifua
🤣🤣🤣🤣 jitahidi utublesi sijaona sekfii yako ya twenty twenty threee kabisa!Nimejaribu kupiga selfie camera imegoma
Wacha niendelee kujaribu tena😂
We tubless na selfie basi. Siku iwe nyepesiIvoivooo Mambo mukide mukideee tupieni za 2023 kwa wingiii
usicheze Mbali coca anashusha kitu muda si mrefu mkuu!
Ninayo sasa! 😁😁😁😁We tubless na selfie basi. Siku iwe nyepesi
ameshavimba kichwa huyo,,,, alivoleta ile taarifa yupo mbeya alishindwa kutoa excuse ama aseme ni muda gan ataweka ? Bora aweke ratba watu wajue,,, ! Comments anazisoma Sana tu !!!!Naona watu wanamchana Muraaa analeta usupastaaa kule madoido kibao!!!
Yeah amekua famous Na watu wanamtafuta sana kuonana nae na kumsapoti in one way or another so bichwa hilooo plus jeuriiii za kikwao!ameshavimba kichwa huyo,,,, alivoleta ile taarifa yupo mbeya alishindwa kutoa excuse ama aseme ni muda gan ataweka ? Bora aweke ratba watu wajue,,, ! Comments anazisoma Sana tu !!!!
Tukuone na mpiga picha lect !✌️✌️
Na big stickers eeh😅Tukuone na mpiga picha lect !✌️✌️