Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,552
Ok atupie hapa!Pm ili iweje??? Mambo ni hapahapaaaa lect nawewe! cocastic tupia kitu asubuhi Yangu ikae vizuri dearrr
Ok atupie hapa!Pm ili iweje??? Mambo ni hapahapaaaa lect nawewe! cocastic tupia kitu asubuhi Yangu ikae vizuri dearrr
We tulia nitaweka video kabisa ajitambulishe 😅Liongooooooooo
Unadhan utanichotaaa, thubutuuuuuuuu. Ulipigwa cha mbavuuu
Useme ulizoana na stranger huko casino ndo usingizie lucie.
Mxxxxxieeeeeeeew. Hunidanganyiii hapa. Lol
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!! Lect anakiuta pm huko Hebu jiongeze naweeee unaniangushaaa Master 😁😁😁!! Fanya umtumie zake pm zetu sie tuwekee hapahapaa 😂!
Ewaaaaaaa hapa hakuna mbambambaa kama Huko Pm!!Ok atupie hapa!
Analeta janja janja sana!Acha zakoo Hebu kainjoi mambo mazuri toka kwa lect hukooo huoni mambo yake ya kizungu kizungu???
Tupia hapa weka na stickers zako!Kwan nimekuambia natuma official hapaaa?
Em subiriiiii, mbna una harakaaa hvooo. Kuwa mpoleeeeee.
Sasa kwenye mitoko ya nje nivae official mie huyu wee, kaa hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Apunguze ukubwa wa stickers pia!Tupia hapa weka na stickers zako!
Umeona eeh🤣Apunguze ukubwa wa stickers pia!
Ndio lect!!Umeona eeh🤣
Nakukubali sana komaa nae hadi aweke picha hapa!Ndio lect!!
Hana tabuu coca akisema anaweka kweli ..sema akishaanza kutingwa huko kuja kumpata sio leo!!Nakukubali sana komaa nae hadi aweke picha hapa!
Huna mawasiliano nae nje ya jf?😊Hana tabuu coca akisema anaweka kweli ..sema akishaanza kutingwa huko kuja kumpata sio leo!!
Naachaje kuwa nayo lect! Nishamwambia kasema Atakuja kuweka muda si mrefu tuwe wapole!Huna mawasiliano nae nje ya jf?😊
Hahhaa sawaNaachaje kuwa nayo lect! Nishamwambia kasema Atakuja kuweka muda si mrefu tuwe wapole!
upo na nani ?
Yuko na mimi chief, nimembebea kikapuupo na nani ?