ngoja nitoe Oda ya ugali bila mboga, unashuka kabisa ! sio shep ni mshepu! Hongera

Ndio kusemaToto la kinyarwanda hili wallah..
Luv 😔😔😔😔😔 mbona unatusema Wakurya 🤣🤣🤣🤣🤣Yeah amekua famous Na watu wanamtafuta sana kuonana nae na kumsapoti in one way or another so bichwa hilooo plus jeuriiii za kikwao!
Mi sina tabu Wigee Wewe tenaaa huwa unachangamsha sana uzi basi tu panic level za watu zipo juu✌️✌️✌️
....205 still active?
Ulivyobana miguu ni unanitia majaribuni
Ebu tubariki na pic moja!Luv 😔😔😔😔😔 mbona unatusema Wakurya 🤣🤣🤣🤣🤣
Potii kulee anazingua kinonaa nawadeiz!!Luv 😔😔😔😔😔 mbona unatusema Wakurya 🤣🤣🤣🤣🤣
Bantu na wewe uweke lile la kwako, hapa ni bandika bandua mwaka uanze vizuri.Luvmbona unatusema Wakurya
![]()
🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🙌🙌🙌🙌😂😂Ulivyobana miguu ni unanitia majaribuni
Ungeachia kidogo hizo paja
Ningepata ahueni
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
NakaziaaaaaaaaaBantu na wewe uweke lile la kwako, hapa ni bandika bandua mwaka uanze vizuri.
Naweee pia utublesi selfii yako wa kuwekana juzi ulitoa excuse hayaaa leo Tunaomba atubless pullliiizzzzzzzzzzzzzzzBantu na wewe uweke lile la kwako, hapa ni bandika bandua mwaka uanze vizuri.
Jamani 😓😓😓😓 ndiyo kwanza January nitajiselfie kesho, panapo uzima 😘
Ngoja nifanye review ya mipango ya mwaka 2023.
🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!
Ahaaaa unaharibu sasa!Jamani 😓😓😓😓 ndiyo kwanza January nitajiselfie kesho, panapo uzima 😘
Yako sijaona kabisa ERoniBantu na wewe uweke lile la kwako, hapa ni bandika bandua mwaka uanze vizuri.
Kamera tu mkuu!!ngoja nitoe Oda ya ugali bila mboga, unashuka kabisa ! sio shep ni mshepu! Hongera![]()