Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,541
- 88,493
Shukrani nawe kheri ya mwaka mpya mkuu
Shukrani nawe kheri ya mwaka mpya mkuu
Thanks my dear
Haka ka juisi tu
Ukitagiwa unitagi chapPoapoa kipenzi usisahau kunitag pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!

BL! Nmeshindwa kuwa mdau wa whiskey,,,japo naonjaga aghalabu ! Huyo mnyama hapo Absolute ndo mweyewe,,,ama Gordon's !Too much of anything is bad, but too much good whiskey is barely enough!View attachment 2467566
Mi mdau sana wa pombe kali kwa ujumla!Jd! Nmeshindwa kuwa mdau wa whiskey,,,japo naonjaga aghalabu ! Huyo mnyama hapo Absolute ndo mweyewe,,,ama Gordon's !
Nyinyi ndio mnakaidi maagizo ya Baba askofu Shoo.Mi mdau sana wa pombe kali kwa ujumla!
Alitoa maagizo gani?Nyinyi ndio mnakaidi maagizo ya Baba askofu Shoo.
Too much of anything is bad, but too much good whiskey is barely enough!View attachment 2467566




khaaah. Unastuka nini?njoo tulewe!😊
Wee teynaaaaah??Unastuka nini?njoo tulewe!![]()



liongooo sanaa mxxxieeeeew. Nikirudi tutalewa sana hapo samaki samaki mcity!😉