cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,321
- 187,999
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baadae.Wee cocastic fanya urudie niione hio official pullliiizzzzzzzzzzzzzzz nimepitwaaaa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baadae.Wee cocastic fanya urudie niione hio official pullliiizzzzzzzzzzzzzzz nimepitwaaaa!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nshasahau mara ya mwsho kupaka mafuta, kweli afu.Mxxxxxxxxxxxiieewww!!
Ungewaka ukang'aa ukapendeza hivo hata kama mweupe ngozi ingekua imepaukaaaaa[emoji16]!!
Sema kweli.Embu tuma picha nione maana kuna mtu nimepishana naye mitaa ya extenal hapa kavaa kama unavyosema
Poapoa kipenzi usisahau kunitag pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
Heri ya Mwaka mpya ZodwaKumbe una kamwili kama ka willow smith
Asantr shangaziiii😍
Hapo Sasa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nyie leo wakati natoka home, si nikavaa official code.
Suit 1 matata, rangi ya maziwa, ndani nlivaa manga nyeusi, chini sandols za DIOR, ambazo nyuma zinakua wazi.
Nimetoka tyuuh njee, woiiiiiii watu wamenshangaaa leo, kuanza kunisifiaa, nimechokaa kuna m1 kaniambia eti rangi sio nzuri kwangu, nimependezaa sanaa ila ingekua nyeusi, mwingne kaniambia nimekua km Willow smith.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikavuaa koti, nimebaki na vingnee tyuuh nafka chuo watu wanasemaa ungepatia na koti lakee sasa mbna umenougaaaaa, had wanasema 'best wee vaa official unatokaa mcharoo" sasa had nataman nirud nkavaw koti.
Nweiii kesho navaa official code nyeupee. Na nyeusi ntaenda kukata kitambaa nishonee.
Huhuhuh.
Sent using Jamii Forums mobile app
IrudiweeeeeeWee cocastic fanya urudie niione hio official pullliiizzzzzzzzzzzzzzz nimepitwaaaa!!
Hahahahah.... ahsante Leo naomba Vocha sijui niweke no hapaAsantr shangaziiii[emoji7]
Mtaalam wa maheaabu
Umenenepaaaa 😍😍😍😍😍😍!
Weka weka chap😜Hahahahah.... ahsante Leo naomba Vocha sijui niweke no hapa
Kabisa mr vocha sema coca hanaga mbambambaa kabisa kasema ataitupia badae!!Irudiweeeeee
Lizzy tu inatosha 😁😁Nikifanikiwa nikuite nani uko paleee...!😁😁
[emoji23][emoji23][emoji23]Ipo kwa pembeni mkuu.Hapo inamiss chai mkuu
Tafuta japo maji kama chai haina tija
Sante sana.Mihogo+ Karanga ukishushia chai hapo Mambo mukide mukide kabisa mkuu!!
Enjoyyyyyy[emoji3577]!!!
[emoji23][emoji23][emoji23]Baada ya makopa ni ugali nswalu na usiku ni wali nsansa na uyoga kwa mbaaali.[emoji16][emoji16][emoji16]Fainali wapi mzee
Ngoja nione kama nitaweza kukimbia na Uzee huu kukuletea personally 🏃🏃🤪🤪
Umenwahi kumbe[emoji3][emoji3][emoji3] ahsanteUmenenepaaaa [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]!
Una ngozi nzuriiii softiiiii[emoji7]!!