National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,176
- 56,202
Leo au kesho basi twende tukapendane na tule ile milkshake kubwaa au mojito eeh.. nasubiri ☎️☎️☎️ ya mipango yetu.. nije nikudekeze mtoto mzuri usie na hila wala waaaMimi bado mdogo hayo mambo sijaanza😊
Thank you chalii angu, nakupenda pia sana tu.
Mungu aendelee kutubariki mwaka huu uwe wa upendo, furaha na amani katika maisha yetu❣️
Happy New year 2023 aunt😍****Kuwa duni. Au kujihamasisha na Chochote kinachofanyika, daima ni chaguo lako.
****Yote tuliyonayo ni matokeo ya kile tumefikiri.
****Mambo mengi muhimu duniani yametimizwa na watu ambao wameendelea kujaribu wakati kunaonekana kuwa hakuna matumaini hata.
Nawatakia wote kheri ya mpya Mungu awabariki atuongeze palipopungua ukawe mwaka wa mafanikio na ndotozetu zote zikatimie
Antonnia@carrasco putin@Glenn@Grahams
cocastic@Mjep Lizzy ERoni@National Anthem Poker Saint Anne Mshana Jr Kapachino Depal Lenie
Nimeshindwa kutag wote nawapenda sana na Nawatakia kheri ya mwakampya
Nadhani wengi wenu ama mna mimba changa zisizo baba
Mnajikuta nani kwanza
Lopo lopo nyuchi zenu
Pumbaf
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Wabheja sana nakwako pia madam!****Kuwa duni. Au kujihamasisha na Chochote kinachofanyika, daima ni chaguo lako.
****Yote tuliyonayo ni matokeo ya kile tumefikiri.
****Mambo mengi muhimu duniani yametimizwa na watu ambao wameendelea kujaribu wakati kunaonekana kuwa hakuna matumaini hata.
Nawatakia wote kheri ya mpya Mungu awabariki atuongeze palipopungua ukawe mwaka wa mafanikio na ndotozetu zote zikatimie
Antonnia@carrasco putin@Glenn@Grahams
cocastic@Mjep Lizzy ERoni@National Anthem Poker Saint Anne Mshana Jr Kapachino Depal Lenie
Nimeshindwa kutag wote nawapenda sana na Nawatakia kheri ya mwakampya
Santo sana mkuu Nishaamkaa mapema sanaaa!!Amkaaaaa amkaaaa
Poa poaHahaaa kakaake taratibu ndio kwanza mwaka umeanza
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Happy New Year Sumbai
Mmmmmh!!
Heri umeifutaHappy New Year guys🎉
Mungu atujalie maisha mema yenye furaha na baraka tele❣️
nipe hela kwanza niache🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hii roho si tulikubaliana unaiacha 2022 lakini?
Usijali loveThank you my love 😘
Thank you my love 😘
Njoo uchukue.nipe hela kwanza niache
Kabisaaaa aongeze mwingne atuchachueeeee,Asante aunt mume atatunzwa tu tukishindwa aongeze mwingine atuchangamshe