Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG_20221228_092438_404.jpg

Hata kama Duniani tunapita, ila still ipo haja ya kuendelea kukumbushana kuhusu kijilinda na kuwalinda tuwapendao.

Wakati tunafurahia kuingia Mwaka mpya 2023, mjue tutakuwa tumeongeza Mwaka 1 kwenye Umri ulionao Sasa 🥱

Wekeni Malengo ya kuyatekeleza kuelekea 2023 🤗

Heri ya Mwaka Mpya 2023 kwa kila Mmoja wetu hapa. Mungu atupe kibali cha kuufikia Mwaka 2023 tukiwa buheri wa afya njema.

Hello Saturday 🥂
 
Back
Top Bottom