Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Hiki hiki baby wangu!😊
Hiki hiki baby wangu!😊
Chaaaa!Hiki hiki baby wangu![emoji4]
Uzuri nakula naposikia njaa sina ratiba maalum ya kula!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kiportableeeee!! [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Gym work, mie nikifanya hvyo nakufaaa sku hyo hyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya kuvunja mgongo sio haya bana...mwenyewe nayaogopa. 😁😁
Nikutumie unga basi na wewe unitumie hii & McD🙏🏾🙏🏾🤓
Kwahiyo we are officially in 2023 sasa ?😳😁Ili ww [mention]Lizzy [/mention] una makusudi jaman hii picha ya kufungia mwaka
Siwezi kuweka rehahi mgongo wangu😂Ya kuvunja mgongo sio haya bana...mwenyewe nayaogopa. 😁😁
Utakufa wewe😂Uzuri nakula naposikia njaa sina ratiba maalum ya kula!
Bora nikutumie nauli uje na wewe kabisa!😊Nikutumie unga basi na wewe unitumie hii & McD🙏🏾🙏🏾🤓
Leo unapokea mwaka ukiwa wapi?kanisani?Utakufa wewe😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jinga wee mxxxxieeeeeewNi Harmonize[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee nawezea wapi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Njoo tusaidiane kufa [emoji16][emoji16]
Unampenda sana Harmonize😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jinga wee mxxxxieeeeeew
Sent using Jamii Forums mobile app
NyumbaniLeo unapokea mwaka ukiwa wapi?kanisani?
Nikajua unakesha kanisani☹️
Kwendraaaaaaaah!! Nampenda Ali kiba.Unampenda sana Harmonize[emoji28]
Kumbe team kibakuli😅Kwendraaaaaaaah!! Nampenda Ali kiba.
Kiba 4 real [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
"Seduce Me" weuweeeeeeeeeh!!!
Sent using Jamii Forums mobile app