Blessed woman
Member
- Dec 2, 2022
- 17
- 63
Heri ya mwaka mpya wanaselfika
Msukuma ujue naumwa mwenzio
Mtaachana tu...
Wivu tuMtaachana tu...
Heri kwako pia Blessed womanHeri ya mwaka mpya wanaselfika
View attachment 2464020
Selfika tuumalize mwaka vizuriWivu tu
Nionyeshe mfanoSelfika tuumalize mwaka vizuri
Karibu kwetuNionyeshe mfano
Kwanza umepotea kitambo sijakuona hapa
Karibu kwetu
Niko kwa Yolly YollyUmeenda kwa mke mdogo
National Anthem njoo uone
Hahaa aje aone niniNational Anthem njoo uone
😂Uchoshwe na nini shemeji 😀😀😀.. na mahaba yote hayo mwapeana.. hata kama ka mimba kachanga sana sio kakukuchosha mapema hivyo