Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Hiyo njia ya magengeni kwa wenye gari.. sie watu wa daldala tunashuka hpo chama na kuchukua bajaji au bolt .Kumbe unaweza pitia apo magengeni;
mtoto wa kishua wewe! Haha unaanzaje anzaje kutokuwa vizuri.
mlalahoi tu mie
January hiyo inakuja niende kushangaa huko ... nibaki mwezi mzima najiuliza 😅😅

