Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20221221_203725.jpg
 
Haha na siku zote pisi kali ni ngumu Sana ku ackwnologe their beuty. humu selfika Naona pisi tu mpo vizuri bana ndomana wengi mmefunga makufuri hamtaki wageni kabisa
yeah humu pisi kali wapo w kutosha ..mie nitoe katika list ...
siku naaply kazi nikaulizwa wewe ni pisikali duh nilichoka kabisa ila kazi yenyewe ilihitaji pisi kali .
 
Nope sio ni huko barra beach .

Nikamuambia mie wa kawaida sana .
akaniambie nitume picha whatsapp nikavunga
Itakuwa alikuwa anatafuta mke.

Kuna taasisi tuliendaga fanya part time job.

Jamaa mmoja pale head of operation sijui na nini uko mbele akatuambie tumtumie cv zetu maana huwa Kuna kazi zinatokea.

Tulivotuma cv za wa dada zile jamaa akawa anachukua Namba anaweka whatsap akikuta picha nzuri kwa profile anakutext

Dada mmoja alikula shavu kina mna iyo. Na mpaka leo bado Yuko now.

Hahaha siku ingine usiwe muoga ati.
 
Uoga ndo akili ati 😅😅
hadi upate dream job ni kasheshe .
huyo dada aliula aiseee .
mimi sitaki hayo mambo .
 
Back
Top Bottom