Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Itakuwa anaongea na Yolly
Itakuwa anaongea na Yolly
Genius asikusikie
Hizo local ndo beach zetu sie sasa.Huko ushuani sana
aisee beach nazoendga mie local sana
Kweli kabisaHizo local ndo beach zetu sie sasa.
Beach yangu ya kwanza navyofika mjini ilikuwa mikadi
Nilikaa na Mzungu siku moja aisee kuongea ngeli ni michosho .
muogeleaje Kama sie mkuu.Kweli kabisa
Beach za kigamboni nzuri
nimeenda za huko mara mbili . Chadibwa na south beach .
napenda kutembea ufukweni tu mie ..muogeleaje Kama sie mkuu.
Au upepo tu ule ukikuburuza afya ya akili inapata utulivu
Nilikaa na Mzungu siku moja aisee kuongea ngeli ni michosho .
ukikosea pronunciation anakurekebish kila saa , nilitamani kumwambia asimfanyie hivyo yule kaka







mie ningemchambaaaa. mwaka mpya kanizururishe uko ununio!! Napasikia sananapenda kutembea ufukweni tu mie ..
siku nimeenda beach ya white sand huko aisee ni chafu mno .
nilipopapenda ni beach za Ununio tena kule private kama dynasty au hawaii
weh ana mdomo huyo kaolewa na mhindi mbongo sijui 😅
sisemi uwongo
Yeah pazuri na kuna vibemwaka mpya kanizururishe uko ununio!! Napasikia sana
Watu wa mikoani sisi hatuujui mji vizuri
Ndege kuna mgeni alifungua madirisha, akacha ninapokaa pamepakana na ka pori wakatokomea🥲🥲Mjomba wale ndege zako wako wapi ..
Kumbe unaweza pitia apo magengeni;Yeah pazuri na kuna vibe
nimepita jioni hapo Boko chama njia ya kwenda huko pako busy balaa .
Ningekuwa vizuri hata kesho tungeenda .
Pole sanaNdege kuna mgeni alifungua madirisha, akacha ninapokaa pamepakana na ka pori wakatokomea🥲🥲
😊😊😊😊😊 umenibakizia
nakunywa na kashata 😊😊Nataka kutengeneza kawaha...utakunywa??