Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Screenshot_20221227-002810~2.png

#coyg
 
yaani yule ni kichaaa anakutext halfu anapiga video call .. ukipokea anakuambia shusha camera chini usawa wa hips . mimi nilikuwa ovyo hahhaa 😅 nikaona ujinga huu jamani . nikamkatia akaanza kunisema hivi una akili wewe ?

aisee ghafla ananitukana matusi makubwa dah sikumjibu
Haha huyu alitia fola!
Alikuwa anataka amuajiri mtu Kama Antonnia wenye ma hips yao mjini.
 
Back
Top Bottom