Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,508
- 203,230
😚😚Nikija utanipeleka wapi kati ya hizo jirani yangu![]()
😚😚Nikija utanipeleka wapi kati ya hizo jirani yangu![]()
Wigelekelo vp mbona unataka kula shemeji yako?Kwanini hiyo bold iwe kwangu
Halafu hiyo kaka mbona husikii
Kuna unachonitafuta
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂😂😂😂😂 NimerudiiiiiiiiiiiiiOrlando😍
Aende hapo nilipafurahia sana
Yaani umejizungusha hadi usiku huu ndio unaenda kwa watu
Mjomba wale ndege zako wako wapi ..aaah wapi ebu tumuone huyo sungura
Tunajuta tumekosa sisi🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂 Nimerudiiiiiiiiiiiii
Bro ananiambia sasa kawatishe status
Alooo em weka mb zangu spesho za kuniview
Sasa hiyo kakaWigelekelo vp mbona unataka kula shemeji yako?
thanks na wewe pia mzuri
thanks na wewe pia mzuri
nimeona komwe litanisaliti![]()




Hahaha nikinyoa sitishi sema nakuwa na kasura kakitoto.
Komwe lote hilo unataka kunyoa
Raha ya mwanamke nywele, mwakani tu unaolewa aisee tunza tu za kusuka harusini
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mnaongelea kunyoa Nini?Hahaha nikinyoa sitishi sema nakuwa na kasura kakitoto.
weuweeh i receive IJN
nywele nzuri sana ukisuka bichwa hilo .
mie najionaga sina komwe kubwa nikicompare na wengine 😅
Komwe lote hilo unataka kunyoa
Raha ya mwanamke nywele, mwakani tu unaolewa aisee tunza tu za kusuka harusini
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hahaha jamani 😅Mnaongelea kunyoa Nini?
Leo nyie wawili siwaelewi
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Usinyoe bwana.Hahaha nikinyoa sitishi sema nakuwa na kasura kakitoto.
weuweeh i receive IJN
nywele nzuri sana ukisuka bichwa hilo .
Hakuna msuko unaomkataa mwenye komwemie najionaga sina komwe kubwa nikicompare na wengine
sema linatusaidia ukisuka kupendeza ni automatically
usiniambie hawapendi
kweli kabisa yaani utasifiwa hadi kero .