Mwambie anipigie ni mimi mama yake!!mwambie sina simu ila nimeona picha zake kwenye simu ya kupalaza ya khamisi/mwambie amenenepa sana ..mwambie nimeona gari lake ni zuri sana !!ila mwambie mama yake bado naishi kwenye lile banda pamoja na kuku/mwambie nimeumwa sana ila nikapona bila hata kutumia dawa/mwambie mzee juma bado ananidai pesa zake nilizokopa ili nimlipie ada amechukua kile kishamba nilichokuwa nakitegemea kufidia deni lake/mwambie mimi mama yake nimebaki pekee yangu tangu baba yake afariki sina hata wa kunisogezea kuni motoni/mwambie leo nimetamani sana nyama[emoji24] zile mboga zilizoota zenyewe upenuni zimenichosha mpka mdomo umekuwa mchungu/mwambie wale vijana walitaka wanipige eti mimi mchawi eeh/mwambie mama yake nimekuwa mzee sana nahesabu siku tu aje hata nishike mikono yake nimuoneshe mipaka ya nyumba yetu/!!salio limeisha mwambie mama anampenda sana[emoji24]!ila huku kijijini nimebaki pekee yangu wenzangu wote wameenda mjini kusherekea kwa watoto wao...[emoji22][emoji22][emoji22]"Msisahau kuwafadhili wageni; maana kwa njia hii wengine mmewakaribisha Malaika pasipo Kujua".
WARAKA KWA WAEBRANIA 13:2
Unaweza Kuta na Uzee huu nikakuletea Baraka nyumbani kwako ukinialika, bado sikukuu haijaisha Mjue[emoji847]
Hello Monday [emoji1635]
kimoja eehh ..
navipenda vizuri sana kwa kukunguti miguu
hapo umeniogopesha aisee sitotengeneza kama vinaumiza hivyo .
Huo ujumbe wa Bi Mkubwa unahuzunisha Sana π’π’.Mwambie anipigie ni mimi mama yake!!mwambie sina simu ila nimeona picha zake kwenye simu ya kupalaza ya khamisi/mwambie amenenepa sana ..mwambie nimeona gari lake ni zuri sana !!ila mwambie mama yake bado naishi kwenye lile banda pamoja na kuku/mwambie nimeumwa sana ila nikapona bila hata kutumia dawa/mwambie mzee juma bado ananidai pesa zake nilizokopa ili nimlipie ada amechukua kile kishamba nilichokuwa nakitegemea kufidia deni lake/mwambie mimi mama yake nimebaki pekee yangu tangu baba yake afariki sina hata wa kunisogezea kuni motoni/mwambie leo nimetamani sana nyama[emoji24] zile mboga zilizoota zenyewe upenuni zimenichosha mpka mdomo umekuwa mchungu/mwambie wale vijana walitaka wanipige eti mimi mchawi eeh/mwambie mama yake nimekuwa mzee sana nahesabu siku tu aje hata nishike mikono yake nimuoneshe mipaka ya nyumba yetu/!!salio limeisha mwambie mama anampenda sana[emoji24]!ila huku kijijini nimebaki pekee yangu wenzangu wote wameenda mjini kusherekea kwa watoto wao...[emoji22][emoji22][emoji22]View attachment 2458611
Weka hata mkono tuTayari nimeshaweka ya breakfast, picha yangu bila uso [emoji14] panapo uzima nitaweka tukiaga 2022 [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
ooh hongera vimependezaNaona na mafuta pia yanachangia.
Mimi nilibadili mafuta, naona pia ni sababu mikono ikaharibika.
Niliyokuuwa napaka yalikuwa hayataki kukaa juani.. nilivyokuja mjini nikawa napiga misele.
Uzuri hizi domati haziishi haraka,tofauti na zile za dukani special
Kuna ndugu yangu nilienda kumsalimia,analo hadi leo nikimteengenezea mwaka 2015.
Angalau vitano.
Siri ya hivi vidude, ukianza hapa kimoja basi kimalize chote[emoji2]usikilaze.
Na msumari Kuna namna ukiutengeza Vizuri hauumizi.
Mimi hivi nilitengeneza wiki tu .. kila siku kimoja. View attachment 2458626
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
mafuta gani hayo uliyatumia , yakakuharibu jamani .Naona na mafuta pia yanachangia.
Mimi nilibadili mafuta, naona pia ni sababu mikono ikaharibika.
Niliyokuuwa napaka yalikuwa hayataki kukaa juani.. nilivyokuja mjini nikawa napiga misele.
Uzuri hizi domati haziishi haraka,tofauti na zile za dukani special
Kuna ndugu yangu nilienda kumsalimia,analo hadi leo nikimteengenezea mwaka 2015.
Angalau vitano.
Siri ya hivi vidude, ukianza hapa kimoja basi kimalize chote[emoji2]usikilaze.
Na msumari Kuna namna ukiutengeza Vizuri hauumizi.
Mimi hivi nilitengeneza wiki tu .. kila siku kimoja. View attachment 2458626
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakika haswaaaaahHahaha chezea weweh
someni mmalize na ma gpa makubwa ..
Mfuko uukunje pembeni na kitambaaaooh hongera vimependeza
hizi nzuri sana ukiwa nazo hauhangaiki kabisa
zinadumu mno .
hivi ushakuja huku tegeta .. ulipaulizia siku ?
Kimoja ndioInaharibika acha tu
Kucha
Vidole vinapata sugu.
Hadi muda upite pite ndio vinajurudi.
Kimoja tu??
Shona hata vitatu angalau mkono hautaumia sana.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mafuta Fulani ya konokono.mafuta gani hayo uliyatumia , yakakuharibu jamani .
Umeona eehMnyonya Mbususu na Wigelekelo walimu wangu asanteni. Leo nimefanya majaribio, nimeweza. [emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
Ulikuwa hujanywa chai??πππππππ
Cha msingi usijitese tu πWallah nikila km wee dear, huu wembamba mwshoe niambiwee nime ukwaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app