Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

hahaah ukamkaushia halafu wanajua tu utampisha ... anasimama pembeni yako kabisa .

nashukuru route nayokaa haina shida ya usafiri .. watu wanashuka njiani .. hata ukisimama huteseki
Nilikuwa nimechoka sana, kichwa kinanigonga Kwa kweli nisingeweza kusimama.
Tena nilikaa dirishani,mwenzangu ndio alikaa pembeni
 
Juzi nimepanda mwendokasi,nimechoka wee halafu anaingia mama na mtoto.
Badala asogee kule Mbele kwenye zile siti zao, amepandia nyuma na anatuangalia usoni.
Kwa kweli sikupisha mtu .
Unahitaji private car mchumba, acha nipambane nikutafutie ndinga.
 
Msitulaumu
Screenshot_20221224-204252.jpg

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Nilikuwa nimechoka sana, kichwa kinanigonga Kwa kweli nisingeweza kusimama.
Tena nilikaa dirishani,mwenzangu ndio alikaa pembeni

kuna seat sio za kukaa kbisa inahitaji uwe kauzu labda
ukiwa unaenda mwendo mrefu kusimama sio poa kabisa .
 
Mkali wa hizi kazi
Na hapo sijaweka Cocoriko yenye Live band na ile Cocorkko nyingine ya Club & Lounge.

Sijaweka Mopao- Moshono

Sijaweka Blue stone- unyama sana hapo, ushuani yan, little expensive

Sijaweka Orlando yako 🤣

Sijaweka The Don

Sijaweka Viavia kwa wqzungu

🤣💃💃

Nipo njiani naenda kwa bro
 
Orlando😍
Aende hapo nilipafurahia sana

Yaani umejizungusha hadi usiku huu ndio unaenda kwa watu
 
Na hapo sijaweka Cocoriko yenye Live band na ile Cocorkko nyingine ya Club & Lounge.

Sijaweka Mopao- Moshono

Sijaweka Blue stone- unyama sana hapo, ushuani yan, little expensive

Sijaweka Orlando yako

Sijaweka The Don

Sijaweka Viavia kwa wqzungu

Nipo njiani naenda kwa bro
Gombea tu ubunge Arusha
 
Back
Top Bottom