Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapa ndio penyewe na vocha utakuwa unapata za bure maana hela zangu hazina kazi
.
Wigelekelo hebu toa maelezo chap namna ya ku-upload picha kwa watumiaji wa tekno.
Anaenda kwenye write a comment

Chini ana scroll kuna neno photos file

Anabonyeza kizenji

Itamletea camera photo gallery

Anatia dole kwenye gallery au camera

Anabetua picha inakaa

Itaandika processing hadi % ijae

Then anatubless

Simple like that

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
Na nimemwambia afanye majaribio hata mkono wake tuuone kaingia mitini! Cjui kwanini watu wenye wowowo wana aibu sana ukianza na mama yangu Rumaiya na Bantu Lady kasoro muhanga wa ujambazi aliyeibiwa mabeseni mchana kweupeee yeye huwa hana aibuu wapi boss lady Antonnia
 
Huyo tako lina TBS

Hajali Wala Nini

Tatizo saa hii mjeda anajilipa

Ujue kurudiisha zile zaga

Si mchezo

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…